Baada ya kufanya vizuri kwenye filamu ya Pumu,mcheza filamu anaekuja juu kwa kasi Mwanaher amemaliza utengenezaji wa filamu ya Mwanaher aliyowashirikisha wa sanii nyota wa filamu nchini
Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema amepania kuteka soko la filamu nchini kwa kufanya kazi nzuri zenye viwango vikubwa sana amesema filamu hiyo amecheza na wasanii kama vile Stanley nsungu,Riyama Ally,Frola Mvungi na wengine wengi





Unajitahid sana Allah akulinde
JibuFutaUnajitahid sana Allah akulinde
JibuFuta